UPENDO UMOJA NA AMANI

WANANCHI WA MOKALA NA KELAMFUA (WAMOKE)

MUUNDO WA UWONGOZI WA WAMOKE

Mission

WAMOKE ni jumuiya yenye mshikamano, inayojitambua, yenye maadili ya kusaidiana, yenye mwelekeo chanya wa maendeleo, na inayojivunia utambulisho wa asili.

Vision

Kuwa jumuiya ya kwanza ya wazawa kutoka kata ya Kelamfua Mokala katika kudumisha upendo, umoja na amani.

Kwa kutambua manufaa ya ushirikiano katika maisha yao binafsi, na baada ya kutathimini na kuzingatia hali halisi ya maisha yao na ya jamii ya Watanzania kiuchumi na kijamii, WANA JAMII ambao ni wazaliwa wa vijiji vya Kelamfua na Mokala katika Tarafa ya Mkuu Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, waliamua kuunda umoja ambao unalenga katika kutekeleza matakwa yao ya kusaidiana kwenye maswala ya kijamii na kiuchumi. Umoja huu ulianzishwa tarehe 26 January 2025 na utajulikana kwa jina la WANANCHI WA MOKALA NA KELAMFUA kwa kifupi WAMOKE

Uwekwezaji

Michango

Mikutano

Misiba

Marathon

Wanachama

Huduma Zetu

Huduma Zilizopo Kwa Wanajumuiya

Ushirikiano wa Wanachama

Ushirikiano wa Wanachama

Kuimarisha umoja na mshikamano kati ya wanajumuiya kwa maendeleo ya pamoja.

Miradi ya Maendeleo

Miradi ya Maendeleo

Kuanzisha na kusimamia miradi ya kiuchumi kwa ajili ya kuongeza kipato cha wanachama.

Elimu na Mafunzo

Elimu na Mafunzo

Kutoa elimu ya ujasiriamali, uongozi na maendeleo kwa wanachama na jamii.

Ushirikiano ndani ya jumuiya

Tunajenga mshikamano imara kati ya wanajumuiya kwa maendeleo ya pamoja.

  • Umoja na mshikamano wa wanachama.
  • Kusaidiana katika changamoto mbalimbali.
  • Kuhamasisha maendeleo ya jamii.
Ushirikiano wa Wanachama

Miradi ya maendeleo

Jumuiya inatekeleza miradi ya uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi kwa wanachama.

  • Uwekezaji wa pamoja.
  • Mafunzo ya ujasiriamali.
  • Kuongeza kipato cha wanachama.
Miradi ya Maendeleo

Maendeleo ya kijamii

Tunahakikisha maendeleo endelevu kupitia elimu, afya na miradi ya kijamii.

  • Elimu kwa wanachama.
  • Uwezeshaji wa vijana.
  • Huduma za kijamii.

Matukio na shughuli

Jumuiya huandaa matukio mbalimbali ya kijamii na maendeleo.

  • Mikutano ya wanachama.
  • Shughuli za kijamii.
  • Marathon na michezo.

Portfolio

CHECK OUR PORTFOLIO

  • All
  • Mengineyo
BUNNER UZINDUZI WAMOKE

BUNNER UZINDUZI WAMOKE

Mengineyo

Team

CHECK OUR TEAM

Contact

Wamoke Group tunatoa huduma bora kwa weledi na ubunifu, tukilenga kujenga mahusiano ya kudumu na mafanikio ya pamoja. Wasiliana nasi kwa maswali, ushirikiano, au kupata taarifa zaidi kuhusu huduma zetu.